Wakenya 16 wauawa mpaka wa Kenya na Sudan kusini

 

Huenda wakenya 16 wauawa mpaka wa Kenya na Sudan kusini
Huenda wakenya 16 wauawa mpaka wa Kenya na Sudan kusini

Wakenya 16 wameuwa kwenye mpaka wa Kenya na Sudan Kusini kwa kupigwa risasi. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa shirika la madereva wa lori na magari ya masafa marefu. Nicholas Mbugua , madereva wengine wanane wamejificha katika makao yao ya umoja wa kimataifa nchini Sudan Kusini. Vile Vile Mbugua anadai kuwa madereva wengine 6 kutoka nchini Uganda wameuwawa.

Kwa sasa anawatahadhirisha madareva kusafiri kuenda Sudan Kusini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *