Mto Sagana

Mwanamke mmoja anayeamimika kuwa mwanafunzi wa shule ya upili amejiyoa uhai baada ya kijirusha kwenye mto Sagana kwa sababu zisizo julikana. Kwa mujibu wa aliyeshuhudia tukio hilo msichana huyo alionekana kijawa na mawazo akiongea kwa simu. Aliwaaga marafiki kwaheri na kisha kufuta jumbe zote kwenye simu yake. Juhudi za kijana aliyeshuhudia kumwokoa ziliambulia patupu huku msichana huyo aliyetambulikana kama Shiro akisema amechoshwa na maisha

Mto Sagana
Mto Sagana