Kwengineko,Aliyekuwa Meya wa Nairobi imgres, wanaomchunguza kwa makosa ya uchochezi.

Jaji Joseph Onguto ,alimtaka Bw Aladwa ajisalamishe kwa polisi wakati wowote anapotakiwa.

Wakati huo huo Meya huyu wa zamani ametakiwa awasilishe kesi ya kupinga kukamatwa, na kushtakiwa katika muda wa siku saba.