Rais wa Tanzania Maghufuli azuru Kenya

Kwa mara ya kwanza tangu Rais Uhuru Kenyatta kuapishwa, Rais wa Tanzania Magufuli amezuru Kenya alipokaribishwa jeshi kuu lililomlaki kwenye uwanja wa ndege. Ziara ya Magufuli inalenga kukuza uhusiano kibiashara na kutafuta uungwaji mkono wa Amina Mohammed kuwa Mwenyekiti wa tume ya Umoja Wa Afrika.

 

Rais wa Tanzania Maghufuli azuru Kenya kwa mara ya kwanza
Rais wa Tanzania Maghufuli azuru Kenya kwa mara ya kwanza

Wabunge walalamika kuhamishwa kaunti ya Busia

Wabunge ishirini na saba miongoni sitini na moja wanalalamika kuhusu huhamishwa kutoka kaunti

Wabunge walalamika kuhamishwa katika kaunti ya Busia
Wabunge walalamika kuhamishwa katika kaunti ya Busia

ya busia kwa madai ya kutolewa mikakati iliyotolewa kuwateua waliohamishwa, Mwenyeketi wa bodi ya kuteua wafanykazi,Bernard wamalwa amesema kuwa uhamisho huo ulizingatia utaratibu unaostahili.

 

Rais Uhuru Kenyatta hajazungumza rasmi kuhusu sakata ya shillingi billioni tano nukta moja katika wizara ya Afya

Rais Uhuru Kenyatta hajazungumza rasmi kuhusu sakata ya shilingi bilioni tano nukta moja katika Wizara ya Afya, ambapo baadhi ya jamaa zake wametajwa kuhusika, siku nne baada ya kisa hicho kufichuliwa. Msemaji wa Ikulu, Manoah Esipisu, aliepuka kutaja kashfa hiyo inayoendelea kuchunguzwa na Tume Huru ya Maadili na kupambana na Ufisadi (EACC) na kutoa hisia kali kwa umma.

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta

Police officials in France begin an operation to clear the jungle migrant camp in Calais

More than 1,200 police and officials in France have begun an operation to clear the “Jungle” migrant camp in Calais that has been housing at least 7,000 people.

Migrants queued peacefully to be processed, and the first of some 60 coaches that will carry them to refugee centres across France have now left.

There is however concern that some migrants will refuse to go because they still want to get to Britain and that weekend clashes with police could be repeated.

Police are clearing immigrants in Calais
Police are clearing immigrants in Calais

Two senators and an MP are drumming up support for the Jubilee party in Kisumu

Two senators and an MP are now drumming up support for the Jubilee Party in Kisumu and urging residents to vote in development-conscious leaders.

Jubilee-nominated senators Joy Gwendo, Mvita Mshenga and Karachuonyo MP James Rege told residents to consider working with the government for the sake of development.

Speaking at Chiga Catholic Church in during a fundraiser ,Ms Gwendo said the Luo community should pay Deputy President William Ruto his political debt by supporting the government.

Jubilee party drumming support in Kisumu
Jubilee party drumming support in Kisumu

Police officers interrogate a matatu driver suspected of being part of the gang that is drugging and robbing female passengers

Police officers in Nairobi are interrogating a matatu driver suspected of being part of a gang that is drugging and robbing female passengers in a crime syndicate that has shocked the city.

Patrick Kinyanjui Thuku, 33, was arrested hours after a woman named Caroline Karimi Mwari took to social media on Saturday to recount her ordeal in the hands of a matatu crew belonging to Dakika MO Sacco.

The suspect is believed to have been the driver, while his conductor is still at large.

The Kenya Police
The Kenya Police

 

A man who was pardoned during Mashujaa day caught stealing

A man who was released from jail on Friday was yesterday caught stealing the offering at a church in Laikipia West.Lucas Ngugi Njoroge, 26, was among petty offenders pardoned by President Uhuru Kenyatta on Mashujaa Day last Thursday.

He was serving time at the Nyahururu GK Prison.It is reported that he dipped his hand into the basket but instead of dropping his contribution,took out Sh900.

President Uhuru Kenyatta during Mashujaa day
President Uhuru Kenyatta during Mashujaa day

Assistant Chief Charles Ngunjiri, a member of the church, said he ,however, rescued the man from worshippers, who wanted to beat him up.

 

 

Wanaume wanaoshiriki katika ukahaba sasa washtakiwa

 

Ukahaba wa wanaume washtakiwa
Ukahaba wa wanaume washtakiwa

Wanaume wanaoshiriki katika ukahaba sasa watashtakiwa wakati mmoja na wanawake. Makamishna wa jopo la tume ya kuajiri wafanyakazi wa mahakama (JSC)waliambiwa na Jaji wa Mahakama ya Rufaa Martha Koome.

Jaji Koome, aliambia JSC wanawake wanabaguliwa na sheria kwa vile ni wao tu hufikishwa kortini kwa kushiriki katika ukahaba.

 

Seneta wa Nairobi Gideon Mbuvi aandikisha taarifa kwa polisi

Seneta wa Nairobi Gideon Mbuvi kwa jina maarufu, Sonko, anayekabiliwa na utata ameandikisha taarifa hivi leo kwa polisi. Sonko ambaye anadaiwa kujitangaza kuwa Rais anatakiwa kujibu mashtaka baada ya kuandikisha taarifa yake katika makao makuu ya idara ya upelelezi ya jinai jijini Nairobi.

Seneta wa Nairobi Mike Sonko
Seneta wa Nairobi Mike Sonko

Jambo hili limejiri baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma Keriako Tobiko kuamrisha polisi kuchunguza seneta huyo kuhusiana na madai hayo. Ameagiza Sonko ahojiwe haraka iwezekanavyo ili achukuliwe hatua.

 

Mfanyibiashara apatikana na hatia ya kutumia vitisho kuitisha millioni tano

 

Mfanyibiashara atumia vitisho kuitisha mamillioni huko mji Nairobi
Mfanyibiashara atumia vitisho kuitisha mamillioni huko mji Nairobi

Mfanyibiashara mmoja kwa jina, Abdulrahim Mohamed Shallo amepatikana na hatia ya kutumia vitisho kuitisha milioni tano kutoka kwa bwanyenye kutoka mji wa Nairobi Bw Ashok Rupshi Shah.

Hata hivyo, mahakama ilimwachilia kwa mashtaka saba ya kupanga njama za kumuua Bw Shah yaliyomkabili pamoja na Bw Hite Kumar Raja aliyekuwa mshirika wa kibiashara wa Bw Shah.